Rayvanny Ft Dulla Makabila - Mis...
• Written by HassanIbungu
Recording:View Fullscreen
Lyrics:
Huyo Miss Buza Mama Miss Buza Jamani Miss Buza Nampenda Miss Buza
Huyo Miss Buza Mama Miss Buza Jamani Miss Buza Nampenda Miss Buza
Rangi Yake ya Vidole kama ndizi za kuchomaa
Harufu yake ya wigi ohh unapata corona
Hee kikipigwa kikodoro lazima utamouna
Shughuli hajaalikwa kijola ka shashola
Ila chumbani si gogo mwali Mbuzi kagoma kifo cha mende chali
Uvunguni sakafu juu ya dari Ua mtoto anaupaka asali mama
Akiona simu anpita nayo Eeh akiona walleti anpita nayo
Eeh akiona dundo kali anpita nayo
Yaani akiona begi kali anpita nayo
Ana msitu kwapani dala kifuani Kwenye dala dala anapita dirirshani
Ghetto anazima taa vipele mapajani Ana dera jipya chupi la zamani
Ayoyoyo Huyo Miss Buza Mama Miss Buza Jamani Miss Buza
Nampenda Miss Buza Huyo Miss Buza Mama Miss Buza Jamani Miss Buza
Nampenda Miss Buza
Haya kelele ya kwanza kwa missi yake We
Kelele ya pili kwa missi yake We we
Kelele ya tatu kwa missi yake W we we we....